Simba, African Lyon ilikuaje?

0
356
Mohamed Hussein akimtoka Miraji Adam wa African Lyon
Juma Liuzio (kulia) na Jonas Mkude wakigongeana pasi mbele ya Peter Mwalyanzi
Kipa wa Lyon Youthe Rostand akiwa tayari kuokoa mchomo wowote utakaotoka kwa Laudit Mavugo
Ibrahim Ajibu akiwaacha solemba Mwalyanzi na Miraji (chini)
Mlinzi wa Lyon Hassan Isihaka (6) akimchunga Liuzio wakati wakisubiri mpira wa kona upigwe
Hapa Mohamed alikuwa akijaribu kumtoka Mwalyanzi…..
….lakini jambo hilo halikumpendeza nyota huyo wa Mbeya City na Simba anayecheza kwa mkopo Lyon
….alichoamua, ni kuimaliza safari ya kinda huyo ambaye alikuwa akielekea kumsabahi kipa Youthe
Abdi Banda akitafakari jinsi ya kuuondosha mpira mbele ya Venance Joseph
Winga wa Lyon Rehan Kibingu akimgeuza uelekeo mlinzi wa Simba Janvier Bokungu
Kipa wa Simba Daniel Agyei akidaka mpira kwa umakini mkubwa
Viungo Mohamed Ibrahim (kushoto) na Mzamiru Yassin wote walisajiliwa Simba wakitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro. Hapa wakipasha misuli tayari kwenda kuongeza nguvu kwenye kikosi cha wekundu hao
James Kotei na Ajibu wakitoka kushangilia bao pekee la Mavugo katika mchezo huo
Huwezi kuuona!…..Hamad Waziri akimiliki mpira mbele ya Mavugo
Rostand akiokoa moja ya mashuti makali yaliyoelekezwa langoni mwake
Mavugo akiwaonyesha mashabiki ishara ya upendo baada ya kufunga bao lililoiwezesha Simba kutinga hatua ya robo fainali ya kombe la FA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here