Liverpool Yaichokoza Madrid, Soma Yanayoendelea Kwenye Usajili Barani Ulaya

MAJOGOO wa Anfield timu ya Liverpool wapo kwenye mipango ya kuwanasa nyota wawili wa Real Madrid James Rodriguez na Marco Asensio mwezi Juni katika...

Zanaco Yaiwekea Msuli Yanga, Ngoma Nzito Zambia

TIMU ya Zanaco FC ya Zambia imeiweka kwenye nafasi ngumu ya kufuzu hatua ya mtoano wa ligi mabingwa barani Afrika Yanga baada ya kuilazimisha...

City Wadhihirisha Ubingwa Hauna Mwenyewe

TIMU ya Simba imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Mbeya City na kuendelea kufanya mbio za ubingwa kuwa ngumu dhidi ya mpinzani wake...

Masikini Loga, Miezi Mitatu tu Kapigwa Chini Asante Kotoko

KUMASI, GHANA KLABU ya Asante Kotoko ya Ghana imevunja mkataba na kocha wake Zdravko Logarusic uliodumu kwa miezi mitatu tu baada ya kufanyika kikao cha...

Kamusoko Kamili Kukamatia Dimba dhidi ya Zanaco

KIUNGO wa timu ya Yanga Thaban Kamusoko amepona majeraha yake na anatarajia kuwepo katika kikosi kitakachocheza na Zanaco FC kwenye mchezo wa klabu bingwa...

Science Issues for Research Reports

There are particular factors you must consider when composing argumentative essays. You have to take a stand when writing a ICSE article. Next, in...

Stay Connected

6,977FansLike
61,542FollowersFollow
448FollowersFollow
885SubscribersSubscribe

Afrika

Hawa Watauzwa Bei Ghali Sana Duniani

5.GIANLUIGI DONNARUMMA (AC Milan-Italia) Mlinda mlango kijana anatazamiwa kusajiliwa kwa pesa ndefu zaidi katika nafasi ya magolikipa na kuvunja rekodi ya usajili hata ya mkongwe...

Hii Chelsea Kuikamata ni Tatizo

LONDON, Uingereza CHELSEA imeendelea kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya West Ham United...

Neymar Jukwaani El Classico

MADRID,Hispania Mshambuliaji wa Barcelona Neymar Da Silva ataukosa mchezo dhidi ya Real Madrid 'EL CLASICO' baada ya kufungiwa michezo mitatu kutokana na kupatikana na hatia...

Mascherano Atupia Bao la Kwanza baada ya Mechi 319 Barcelona

BARCELONA, Hispania KIUNGO Javier Mascherano amefunga bao lake la kwanza baada ya kucheza mechi 319 tangu ajiunge na Barcelona katika ushindi mnono wa mabao 7-1...

Rooney ‘Apigwa’ Chini United

MANCHESTER, Uingereza NAHODHA wa Manchester United Wayne Rooney ameachwa katika kikosi kitakachocheza leo kwenye mchezo wa kwanza wa Europa hatua ya robo fainali dhidi ya...
video

+VIDEO: Mourinho Alivyomtolea Uvivu Beki Wake

MANCHESTER, Uingereza Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amembwatukia beki wake wa kushoto Luke Shaw kutokana na kushindwa kujituma hivyo kujikuta akiwa benchi muda mrefu. Shaw...

Kitaifa

Tambwe Peke Yake, Mbona Patachimbika Kesho?

MSHAMBULIAJI Amiss Tambwe ndiye mchezaji pekee wa Yanga aliyethibitishwa kuwa ataukosa mchezo wa kesho wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Azam na kwamba...

Ruvu Shooting Waenda Mbeya Kijeshi, Wagonga Nyundo Walikimbia Jiji

KIKOSI cha wachezaji 20 na viongozi 13 wa Maafande wa timu ya Ruvu Shooting kimeondoka alfajiri ya leo kuelekea Jijini Mbeya kwa ajili ya...